did you know?

Waziri Adai Waganda Wanapenda Ngono Sana Kuliko Chakula..Ngono zinafanyika Mchana Badala ya Kula Chakula cha Mchana




Waziri wa maadili nchini Uganda Simon Lokodo amedai kuwa ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi yanazidi kuongezeka zaidi kutokana na waganda wengi kufanya ngono mchana badala ya kula chakula cha mchana.

Pia waziri huyo aliendelea kwa kusema kuwa inabidi wapenzi waaminiane zaidi na kuelekeza macho yao kwenye kupunguza ngono zembe,na kuiambia kamisheni ya kuzuia maambukizi ya Ukimwi kuelekeza nguvu zao kwenye vyombo ovya habari ili kuwakumbusha wananchi waliosahau.

Kwa sasa nchini Uganda, kuna zaidi ya watumiaji wa dawa za kuongeza maisha 600,000 huku asilimia 90 ya dawa hizo zinafadhiliwa na mataifa ya nje.

Post a Comment

Post a Comment