Tumezoea kuona pacha wengi wakishare mambo wanayopenda kwa pamoja, kitu kama aina ya mavazi wanayovaa na vinginevyo, iliwahi kutokea story ya mapacha walioolewa na pacha wenzao Tanga.
Kutoka Afrika
Kusini mapacha wawili wanawake, Owami na Olwethu wenye umri wa miaka 26
wameingia kwenye headline kutokana na kukubaliana kuolewa na mwanaume
mmoja, Mzukiseni Mzazi ambapo mapacha hao wamesema walikuwa
wakishirikiana kwa mambo mengi tangu wakiwa wadogo huku wakiwa na ndoto
ya kuolewa na mwanaume mmoja.
Post a Comment