video and music

New Video: Kidawa - Izzo B feat Shaah

Izzo B. mzee wa Mbeya, amedondosha audio na video ya wimbo mpya "Kidawa" siku ya jana, ikiwa ni kwa mara ya kwanza kufanya hivyo ambapo siku zote tumemzoea akiachia Audio na Video kufata Baadae


Tizama video ya wimbo huo mpya aliomshirikisha Shaah "Kidawa"



                                           endelea hapa

Post a Comment

Post a Comment