Ni kama vile hana bahati, huku timu yake ikiwa ina haha kutafuta nafasi 4 za juu, Majanga yameendelea kumfukuzia mchezaji wa Man united aliyesajiliwa kwa uhamisho wa zaidi ya paundi Milioni 30 za Uingereza...
Si
mwingine bali ni Marouane Fellaini ambaye imefahamika ametoswa na Bi
dada anayejulikana kwa jina la Roxanne Jeffers" ambaye imefahamika
walikutana wakati wa kipindi cha kombe la Dunia.... Swali la kujiuliza
ni....kiwango cha mchezaji huyu kitaathirika baada ya pigo hilo la
kuachwa!!!... Hebu muangalie kwanza mtoto
Post a Comment