gossip

COCACOLA YAMKUMBUKA WEMA SEPETU,IDRISA ATENGWA,MWENYEWE ACHANGANYIKIWA ....[VIDEO]




Idrisa sultan mshindi wa big brother afrika mwaka jana amejikuta akichanganyikiwa kwa kushindwa kujieleza na kuingiliana na wema sepetu kisa jina lake kukosa kwenye chupa za cocacola.


Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja ..Bofya HAPA ULIKE PAGE YANGU!..


kutokana na ushahidi wa video aliyoiweka kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha akiingiliana maneno katika kujieleza jinsi ilivyokua.



Mashabiki wamekitafsiri kitendo hicho kama kushindwa kujizuia hisia zake japo alijaribu.Ifahamike kua WEMA SEPETU  NA IDRISA SULTAN walikua UCHUMI SUPERMARKET.






Umeisoma hii hapa ya JE UNATATIZO LA KUKOJOA HARAKA NA KUMALIZA MCHEZO HARAKA

Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo

 Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja ..Bofya HAPA ULIKE PAGE YANGU!..

 

Nasibu Abdul Juma (born 2 October 1989), popularly known by his stage name Diamond Platnumz (or simply Diamond), is a Bongo Flava recording artist and singer from Tanzania. He is best known for his hit song "Number One". He performed at the Big Brother Africa 7 eviction show in May 2012.[2] Diamond is considered influential among his fans, and is said to be the most loved and decorated Tanzanian artist at the moment.[3] He was believed to be the highest selling Tanzanian artist of ringtones by mobile phone companies in 2013, as well as being among the artists earning the highest income in the African Great Lakes region's music industry.[3]

 

BOFYA HAPA KUTUPIGIA KURA KAMA WAVUTI/BLOG UNAYOIPENDA...andika BONGOHOTZ.BLOGSPOT.COM






Post a Comment

Post a Comment