NA RAHEL NYABALI KIGOMA.
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa mkoani kigoma (TAKUKURU) imetoa wito kwa wananchi kuiona rushwa kama janga la kitaifa linalohitaji nguvu ya pamoja kupambana nalo, kwani linaludisha nyuma maendeleo ya Wananchi na Taifa kwa ujumla.
Wito huo umetolewa na mkuu wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa mkoani kigoma (TAKUKURU)Stephan Mafipa alipokuwa akitoa ripoti ya miezi mitatu ofsini kwake manispaa ya Kigoma ujiji mkoani Kigoma amewasisitiza wananchi kutojihusiaha na vitendo vya rushwa bali kutoa taarifa kwa wakati katika ofsi ili kukomesha matukio hayo.
Mafipa amesema katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2021 TAKUKURU mkoa wa kigoma, imefanikiwa kufanya kazi za ufiatiliaji wa rasilimali za umma kwenye miradi( 97 )yenye zaidi ya thamani milioni (11) ili kuhakikisha miradi hiyo inatekelezwa kwa viwango vinavyo hitajika kulingana na thamani ya fedha.
Aidha amesema Taasisi hiyo katika hatua nyingine imefanikiwa kufungua mashauri mapya matano ya makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi na kufanya idadi ya kesi zinazo endelea mahakamani kuwa kumi na tatu,katika kipindi hucho jumla ya mashauri matatu yalitolewa maamzi ambapo jamhuli ilishinda.
Mafipa amesisiza ushirikiano wa wadau mbalimbali katika mapambana dhidi ya rushwa utasaidia kupanua wigo wa kupambana na rushwa ili kujenga jamii yenye Misingi ya uadilifu, uwajibikaji na uzalendo.
Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili
soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.
Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb
The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.
Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania
Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.
vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.
Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.
https://www.swahili.viuhapa.com/takukuru-kigoma-yaonya-vikali-wananchi-swahili-viuhapa/
Post a Comment