Burudani

Kundi linalodai demokrasia Sudan lakosoa juhudi za upatanishi za UN - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

Kundi maarufu linaloongoza maandamano ya kudai demokrasia nchini Sudan limeukosoa Umoja wa Mataifa leo, likiutuhumu kwa kushindwa kulinda kipindi cha mpito nchini humo kuelekea demokrasia na kuwabembeleza majenerali walioongoza mapinduzi ya kijeshi mwaka jana. 

Chama cha Wasomi nchini Sudan, kwa mara nyingine kimepinga mpango wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan unaolenga kuwaleta pamoja raia na jeshi kwenye meza ya mazungumzo. Kundi hilo limesema katika taarifa kuwa lengo la Umoja Mataifa nchini humo limeshindwa kabisa kwa sababu ujumbe huo unaegemea upande wa jeshi. 

Taarifa hiyo ya leo imekuja wakati ujumbe wa Umoja wa Mataifa chini ya kiongozi wake, Volker Perthes, ukiendelea na mashauriano yake ya kupata suluhisho la mgogoro unaoendelea.

logoblog

Thanks for reading Kundi linalodai demokrasia Sudan lakosoa juhudi za upatanishi za UN






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/kundi-linalodai-demokrasia-sudan-lakosoa-juhudi-za-upatanishi-za-un-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment