BLOG

Kagame, Kenyatta wakutana Nairobi | MUUNGWANA BLOG - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, Alhamisi alikutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame, katika Ikulu mjini Nairobi.

Katika mkutano huo wa faragha, viongozi hao wawili waliahidi kujitolea kufanya kazi pamoja kutafuta suluhu la kudumu la migogoro inayokabili Ethiopia, Sudan, Sudan Kusini na Somalia, wakisema Kenya na Rwanda zitaendelea kuwa na nafasi kubwa katika kukuza mazungumzo na amani miongoni mwa pande zinazozozana.

Akizunguzmza na idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika, msemaji wa Ikulu ya Kenya, Kanze Dena alisema wawili hao pia walijadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya nchi hizo mbili ikiwemo biashara, usafiri na masuala ibuka yanayohusu ukanda wa Afrika Mashariki na bara nzima la Afrika.

“Alikaribisha hatua ya Rwanda ya kufungua tena mpaka wake wa Gatuna na Uganda, akisema itarahisisha usafirishaji wa bidhaa na watu kati ya nchi hizo mbili jirani na pia kuifaidi Kenya,” alisema Dena.

Kuhusu biashara, Rais Kenyatta alisema nafasi ya kimkakati ya Rwanda katika eneo hilo inaifanya kuwa mshirika muhimu wa kibiashara na Kenya hasa kama lango la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na soko kubwa la Ukanda wa Maziwa Makuu.

Kagame baadaye alistuama ujumbe wa Twitter akisema kwamba alikuwa nchini Kenya kwa ziara ya kikazi.

“Tumetimiza mengi kwa muda mfupi tu katika ziara hiyo,” alisema Kagame.

Ili kuimarisha biashara kati ya nchi hizo mbili, Rais Kenyatta alitoa wito kwa Rwanda kupanua mikakati ili nchi yake kufaidika zaidi na usafirishaji wa bidhaa kutoka Kenya na kuendelea kuchukua fursa ya huduma zilizoboreshwa katika Bandari ya Mombasa kuwezesha usafirishaji wa bidhaa.

“Rais Kenyatta amemhakikishia mwenzake wa Rwanda kuhusu dhamira ya Kenya ya kuhakikisha nchi hizo mbili zinashirikiana katika kutetea maadili ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa manufaa ya watu wa eneo hilo,” alisema Dena.

Mkutano huo umejiri siku mbili tu kabla ya viongozi wa Jumuiya ya Afrika, AU, kufanya mkutano wao wa kila mwaka.

logoblog






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/kagame-kenyatta-wakutana-nairobi-muungwana-blog-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment