ATAJA

Jaji mkuu wa Tunisia ataja hatua dhidi ya idara ya mahakama kuwa kinyume na sheria - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

 

Jaji mkuu nchini Tunisia Youssef Bouzakher leo amemshtumu rais wa nchi hiyo Kais Saied kwa kuhujumu uhuru wa idara ya mahakama kwa kuvunjilia mbali baraza kuu la mahakama na kuonya kuwa majaji hawatakaa kimya. 

Akizungumza na shirika la habari la Reuters kwa njia ya simu katika hisia za kwanza kwa umma za wanachama wa baraza hilo kuu la mahakama, Bouzakher amesema kuwa hilo ni jaribio la kuwaweka majaji hao chini ya maagizo ya rais na kuongeza kwamba uamuzi huo wa rais ni kinyume na sheria Saied alitangaza uamuzi huo jana usiku hii ikiwa hatua ya hivi karibuni zaidi ya kuimarisha madaraka baada ya kulivunja bunge nakumsimamisha kazi waziri mkuu mwezi Julai na kuahidi kufanyia marekebisho katiba ya kidemokrasia katika hatua ambazo wakosoaji wake wanaziita mapinduzi.

logoblog

Thanks for reading Jaji mkuu wa Tunisia ataja hatua dhidi ya idara ya mahakama kuwa kinyume na sheria






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/jaji-mkuu-wa-tunisia-ataja-hatua-dhidi-ya-idara-ya-mahakama-kuwa-kinyume-na-sheria-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment