ATOA

IGP SIRRO ATOA MIEZI SITA KUKAMILIKA JENGO LA OFISI YA KAMANDA WA POLISI MARA. - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro ametoa muda wa miezi sita
kukamilisha Mradi wa ujenzi wa jengo la ofisi ya kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara  ambapo awali ujenzi huo ulisimama kwa
takribani miaka 20.

Akizungumza baada ya kukagua Mradi huo, IGP Sirro, amesema kuwa Umaliziaji
wa jengo hilo unatokana na fedha kiasi cha Bilioni 1.4 zilizotolewa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Wakati huo huo akiwa Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya IGP Sirro pia
amekagua Mradi wa ujenzi wa jengo la ofisi ya kamanda wa Polisi ambapo ndani ya
siku 100 tangu kutolewa kwa fedha kiasi cha bilioni 1.5 ujenzi huo umefikia
hatua mbalimbali za kukamilika.

 








viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/igp-sirro-atoa-miezi-sita-kukamilika-jengo-la-ofisi-ya-kamanda-wa-polisi-mara-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment