AU yaahirisha mjadala kuhusu hadhi ya Israel

AU yaahirisha mjadala kuhusu hadhi ya Israel - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

 

Umoja wa Afrika umeahirisha mjadala kuhusu kuiondolea Israel hadhi ya kuwa mtazamaji kwenye Umoja huo. Hatua hiyo imeepusha upigaji kura ambao ungeleta mpasuko katika Umoja huo wa nchi wanachama 55. 

Haya ni kwa mujibu wa wanadiplomasia walioliambia shirika la habari la Ufaransa AFP. 

Katika siku ya mwisho ya kikao cha kila mwaka cha Umoja huo mjini Addis Ababa, mmoja wa wanadiplomasia aliliambia shirika hilo la AFP kwamba suala hilo la Israel limeahirishwa kwa sasa na badala yake, kutaundwa kamati kulichunguza. 

Kamati hiyo ya nchi sita ni pamoja na Afrika Kusini, Algeria, Rwanda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Cameroon na Nigeria. 

Wanadiplomasia hao wamesema ratiba ya kazi ya kamati hiyo haijatolewa na pia haijaelezwa ni lini Umoja wa Afrika utalishughulikia suala hilo tena.

logoblog






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/au-yaahirisha-mjadala-kuhusu-hadhi-ya-israel-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment