Abiy

Abiy Ahmed ataka Umoja wa Afrika kupewa nafasi ya kudumu kwenye baraza la usalama la UN - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed ametoa mwito kwa Umoja wa Afrika kupewa nafasi ya kudumu katika baraza la usalama la Umoja wa Mataifa.

Kwenye hotuba yake ya ufunguzi katika siku ya pili ya mkutano wa kilele wa Umoja wa Afrika Abiy ambaye ni mwenyeji wa mkutano huo amesema tangu kuanzishwa kwa baraza hilo kwa zaidi ya miongo saba Afrika imesalia kuwa mshirika mdogo asiyekuwa na mchango muhimu katika mfumo wa utawala wa kimataifa. 

Mataifa yenye nafasi za kudumu kwenye baraza hilo ni Marekani, China, Urusi, Uingereza na Ufaransa na yana uwezo wa kura ya turufu kwenye miswada ya maazimio ya baraza hilo. 

Mkutano huu unaofanyika baada ya kuahirishwa kwa miaka miwili kutokana na janga la corona unajadili masuala kama mapinduzi ya hivi karibuni na majaribio ya kunyakua madaraka, janga la corona, ugaidi, mabadiliko ya tabianchi na mizozo inayoendelea kama wa jimbo la Tigray nchini Ethiopia.

logoblog

Thanks for reading Abiy Ahmed ataka Umoja wa Afrika kupewa nafasi ya kudumu kwenye baraza la usalama la UN






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/abiy-ahmed-ataka-umoja-wa-afrika-kupewa-nafasi-ya-kudumu-kwenye-baraza-la-usalama-la-un-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment