celeb

Zuchu awa tishio kwa msanii mpya wa Harmonize

Kama Unakumbu Kumbu Nzuri, @officailzuchu Alitambulishwa Rasmi Siku Ya Juma Tano Trh 8/4/2020. USIKU Saa 3, Ndani Ya Masaa 3 Alifikisha Followers 100k Kuanzia Ule Muda Wa Saa 3 Usiku  Mpaka Saa 6 Usiku, Hiyo ni Ndani Ya Masaa na Sio Siku.

Huku Msanii #Ibraatz Wa Konde Music Worldwide Ya HarmonizeTz Anasiku Ya Pili Sasa Inaenda Ana Followers 32.8K.

Huu ni Mfano Hai Unaweza Kulinganisha na Tukasema Kua DiamondPlatnumz Ananguvu Kubwa Sana katika Mitandao Ya Kijamii Tukiachana na Fanbase Yake Inayo Msupport.


Post a Comment

Post a Comment