celebinternational

Beyonce akataa zawadi za Kim Kardashian - Bongohot.com


Malkia wa muziki Pop, Beyonce ameripotiwa kukataa zawadi aliyoletewa na Kim Kardashian kwa ajili ya watoto wake mapacha Rumi na Sir Carter.


Kwa mujibu wa MSN.com, imeelezwa kuwa Kim alimletea Beyonce zawadi ya nguo kwa ajili ya watoto wake mapacha aliowapata Jun 19 mwaka huu, hata hivyo Beyonce hakuwaonyesha watoto wake bali alizigawa nguo hizo kwa wahudumu wa hospitalini, nguo ambazo zilitengenezwa na mbunifu wa mwanamitindo huyo.

“She also sent about $ 10,00 worth of clothes for Blue for her Kanye’s sold-out chirlder’s fashon line and she’d had some pieces specially tailored for the infants,” kimeeleza chanzo cha karibu na familia ya Jay Z.

Mke wa Kanye alisema kuwa pia atampatia Beyonce zawadi ya make-up zake anazoziuza hata hivyo inadaiwa kuwa make-up hizo ziligawiwa kwa watu wengine Beyonce hakuitumia.

Na Laila Sued
Post a Comment

Post a Comment