celebgallery

CLAIRE KAMAHORO "KLEYAH MUSIC" BIO YAKE NA PICHA ZAKE ZOTE

MSANII wa Bongo Fleva, Claire Kamahoro ‘Kleyah’, Pia hufahamika kama Kleyah Music, ni Muimbaji, Mwandishi wa Nyimbo na CEO wa KleyahMusic. Mwanamuziki wa Kike aliyehitimu Masters degree in International Management nchini Marekani. Kleyah ameweka wazi kuwa usanii ni Fani aliyoipenda tangu utotoni.

Safari yake ya Musiki ilianza tangu mwaka 2014, na alitambulishwa zaidi na nyimbo ya AFRICAN DRUM iliyotoka 23rd March 2016. Nimekuwekea Photo Gallery ya Claire Kamahoro ‘Kleyah’ hapa BONGOHOT.COM.

Picha akiwa Location ya Nyimbo:


Picha za Beach/ ufukweni:






 PICHA ZA KWENYE SHOO:



 PICHA ZA KAWAIDA:





 
Post a Comment

Post a Comment