latest news

TANGA: Coaster lagonga Lori kwa nyuma maeneo ya Lusanga, watu kadhaa wapoteza Maisha


Bad News: Mkoani Tanga ajali nyingine mbaya imetokea Jana Usiku. Ajali imetokea eneo la Lusanga wilayani Muheza Coaster hiyo ikitokea Tanga kwenda Korogwe. Coaster hiyo iligonga Roli kwa nyuma na kusababisha vifo vya watu wengi.

Ripoter wetu wa kwanza ameandika..
"Huku bado tukiwa bado tunauguza vidonda vya maumivu ya ajali iliyochukua roho za watoto wetu huko tanga napo basi aina ya coaster imegonga lori kwa nyuma na vimeripotiwa vifo kadhaa."

Hadi sasa Bongo Hot ipo njiani kuelekea Wilayani Muheza. Tutakuhabarisha...








Post a Comment

Post a Comment