celebinternational

Rafiki wa Lady Gaga afariki


Sonja Durham ni rafiki wa muda mrefu wa mwanadada Lady Gaga amefariki kwa ugonjwa wa Kansa, siku ya juzi Ijumaa.

Mume wa Sonja,Andre Dubois amesema mkwe alikuwa akiugua ugonjwa wa kansa na ilifika katika stage mbaya ya 4,”Mke wangu kipenzi amefariki kwa amani na upendo akiwa nyumbani” amesema Andre.

Kabla ya kifo Gaga alimposti rafiki yake huyo siku ya alhamisi akiwataka watu watazame video ya rafiki yake huyo”Mtazamae rafiki yangu kipenzi mwenye nguvu na upendo hapo anapambana na ugonjwa wa kansa ambayo imebadiri maisha yake.Asante Sonja kwa kunishawishi me kila siku“.

Katika album ya Gaga iitwayo “Joanne” bonus track iitwayo Grigio Girls, Gaga amefanya na Sonja wimbo huo.

by; Bongohot English
Post a Comment

Post a Comment