europenews

ARSENAL YAJIHAKIKISHIA KUBAKI BIG FOUR

UINGEREZA: Arsenal imeimarisha matumaini yao ya kupambana kuwa katika timu nne bora katika msimamo wa ligi kufuatia ushindi wao wa mabao 2-0 dhidi ya Southampton usiku wa kuamkia leo.

Mabao hayo yalifungwa na Alexi Sanchez na Olivier Giroud na kupelekea klabu ya Manchester United kushuka mpaka nafasi ya 6 na Arsenal kupanda nafasi ya 5.

Post a Comment

Post a Comment