tanzia

Alicho Kiandika Diamondplatnumz baada Ya Kifo Cha Alie Kua Mume Wa Zari

Alfajiri ya leo May 25, 2017 ziliripotwa taarifa za kifo cha aliyekuwa Baba wa watoto wa Zari The Boss Lady Ivan Semwanga ambaye ni mfanyabiasha maarufu kutoka Uganda.

Watu mbalimbali wametuma salamu zao za rambirambi kwa msiba huo akiwemoDiamond Platnumz ambaye ni mpenzi wa sasa wa Zari na wakiwa na watoto wawili, Diamond aliweka picha ya mshumaa na kuandika maneno manne ‘mbele yako, nyuma yetu

Post a Comment

Post a Comment