latest news

MASHINDANO YA MBIO ZA MARATHON MKOANI TANGA YAFIKIA PAZURI

Mkoani Tanga; Mashindano ya mbio za Marathon yanatarajiwa kutimua vumbi katika Halmashauri ya Jiji la Tanga ambapo kati ya wanariadha 2000 kutoka ndani na nje ya nchi wanatarajiwa kushiriki mchezo huo.

Mratibu wa mashindano hayo,Juma Mwajasho alisema juzi kuwa lengo la kufanyika kwa mashindano hayo ni kuutangaza mkoa wa Tanga kwa kuzibainisha fursa zilizopo kuanzia makao makuu ya Jiji na maeneo mengine.

Mashindano hayo yanayoendeshwa na kituo cha redio cha Tk Fm cha jijini tanga.

Source: Bongo hot

Post a Comment

Post a Comment