hot news
VIDEO: Rais Magufuli akiongelea ishu ya dawa za kulevya iliyoibuka na watu maarufu
0
Comments

Ishu kubwa sasa hivi Dar es salaam ni ishu ya dawa za kulevya ambapo baadhi ya watu maarufu wa Tanzania wameshikiliwa Polisi kwa tuhuma hizo, leo February 5 2017 Rais Magufuli ameiongelea hiyo ishu IKULU akiapisha mkuu mpya wa Majeshi, tazama kwenye hii video hapa chini…
Post a Comment