kenya

Picha: Akothee AMBUSU kijana wa miaka 21 hadharani na Kuwachanganya Wakenya wengi



Picha moja yake mwimbaji mashuhuri imekuwa akienea, ambapo alionekana akipigwa busu na kijana wa umri mdogo. Picha hiyo ilizua hisia mseto kuhusu uhusiano huo.

PAY ATTENTION: Get all the latest gossips on BONGOHOT.COM Gossip App

Afisa mmoja wa polisi ambaye anadai kuwa mmoja wa walinzi wa Akothee aliwapigia wachapishaji wa Mpasho na kuwatisha kwa "kumharibia" Akothee jina.



Kilichopelekea hatua hiyo ni picha ya Akothee iliyoenea mitandaoni akiwa anambusu mwanaume mwingine, anayesemekana ni mtoto kwake. Afisa huyo aliwatishia kuwa wakichapisha stori hiyo kuhusu Akothee, watakipata cha mtemakuni kwa sababu mwimbaji huyo atawashtaki.

PAY ATTENTION: Get all the latest gossips on BONGOHOT.COM Gossip App

Kwenye picha hiyo, Akothee amembusu vikali Brown Mauzo, aliyesemekana kuwa na uhusiano naye mwaka wa 2015. Mwaka huo huo wa 215, Akothee alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mpenziwe wa Uswizi, ambaye walipanga kufanya harusi mwezi Novemba 2016.

Katika mwaka huo wa 2016, inasemekana kuwa Akothee alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamitindo wa humu nchini, Tony Tito Mutua. Wacha movie iendelee.


SHOW YA MSAMI BABY KWENYE  FM BEACH PARTY MKOANI TANGA ITAZAME HAPA