tanga

KUTOKA TANGA KWENYE TK BEACH PART



Habari njema kwa wapenda Burudai wa mkoa wa Tanga siku ya leo ni Part kubwa ya Beach iliyoandaliwa na kituo cha redio cha Tanga kunani (TK FM radio) ya mkoani hapo. Siku ya Jumamosi ya January 28 2017 katika Beach ya Raskazone Swimming Club. Hadi sasa bado wananchI WA Tanga wanaendelea kuingia.

TK BEACH PART ambayo itapambwa na wasanii kutoka mkoa wa tanga na Msanii wa Bongo  flava MSAMI hitmaker wa Step by Step kwa hapa Bongo. Wakazi wa mkoa wa tanga mnakaribishwa kufika pale Raskazone swimming club siku ya leo.

Part hiyo iliyonogeshwa na wadhamini kutoka katika mkoa wa Tanga ambao ni Tigo,Tk Fm Radio, Kitisa restaurant, Light Magic Studio, New Atlas art work, Level chafu intertainment, Bongohot Pixel na BONGOHOT.COM












TOA MAONI YAKO HAPA BONGOHOT