
Aliekuwa Meya wa Jiji la Dar es salaam na Mbunge wa Afrika Mashariki (EALA) Didas Masaburi amefariki dunia usiku huu katika hosptali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam.
#
Bongohotzmedia inaungana na familia katika kuombeleza msiba huu mkubwa. Mbele yake....nyuma yetu. R.I.P Masaburi
Post a Comment