politics

WABUNGE WA UPINZANI WAFANYA VURUGU ZA KUZUIA RAIS ASIHUTUBIE


Watu wa usalama katika bunge la Afrika Kusini wamewaondoa wabunge wa Upinzani wa chama cha Economic Freedom Fighter baada ya kujaribu kuzuia Rais Jacob Zuma asihutubie.
EFF wamesema Rais Zuma hasitahili kuhutubia bunge kutokana na maamuzi ya mahakama dhidi yake hivi karibuni, baada ya kiongozi wa EFF,  Malema Julius kutolewa bungeni  aliwaambia waandishi wa habari….
"Hatuwezi kuongozwa na mtu ambaye alishindwa kutekeleza, kutetea na kuilinda katiba"


Jiunge na BONGOHOTZ.COM sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usiache ku download application play store kupata habari ndani ya sekunde kila inapotufikia..Karibu

LIKE PAGE YA BONGOHOTZ KWENYE FACEBOOK



TOA MAONI YAKO HAPA