sports
LECIESTER CITY USHINDI TAYARI..!! HII NDIO PROFILE YA TIMU..soma na list ya timu zilizo wahi kushinda kombe la EPL
0
Comments
England, on 2 May, 2016. Wimbo wa ushindi umerecordiwa kwa ajili ya Leciester City Football Club katika mwaka 2015/16 katika ligi ya EPL. Jumatatu chelsea na Toternham hotspurs walitoka bila kufungana kwa 2:2 hii imezidi kuwa tabasamu kubwa kwa Leciester city.Nimekuandikia hapa Bongohotz wasifu wa timu hiyo lakini pia kukuonyesha timu zilizowahi kuchukua Kombe hilo la EPL.
LEICESTER FACTFILE
Jina la Timu: Leicester City Football Club
Ilianzishwa: 1884
Uwanja: King Power Stadium, Leicester (capacity: 32,262)
Nickname: The Foxes
Rangi za Timu: Blue shirts, blue shorts, blue socks, all with gold trim
Thamani ya Timu: £436 million ($637 million, 556 million euros; Private Company Financial Intelligence, Feb 2016)
Mmiliki wa Timu: Vichai Srivaddhanaprabha (THA)
Manager: Claudio Ranieri (ITA)
Kocha msaidizi kikosi cha kwanza: Paolo Benetti (ITA), Craig Shakespeare (ENG), Steve Walsh (ENG)
Captain: Wes Morgan (JAM)
Honours:
Premier League champions: 2015-2016
League Cup (3): 1964, 1997, 2000
Most appearances:
Graham Cross (ENG): 599
Most goals:
Arthur Chandler (ENG):273
Usajili wa kwanza katika timu
Andrej Kramaric (CRO); £9 million ($13 million, 11 million euros) to Rijeka/CRO, January 2015
Usajili uliowahi kuvunja record ya timu
Emile Heskey (ENG); £11 million ($16 million, 14 million euros), to Liverpool/ENG, March 2000
WASHINDI WOTE WA ENGLISH PREMIER LEAGUE CHAMPIONS
2015-16: Leicester City
2014-15: Chelsea
2013-14: Manchester City
2012-13: Manchester United
2011-12: Manchester City
2010-11: Manchester United
2009-10: Chelsea
2008-09: Manchester United
2007-08: Manchester United
2006-07: Manchester United
2005-06: Chelsea
2004-05: Chelsea
2003-04: Arsenal
2002-03: Manchester United
2001-02: Arsenal
2000-01: Manchester United
1999-00: Manchester United
1998-99: Manchester United
1997-98: Arsenal
1996-97: Manchester United
1995-96: Manchester United
1994-95: Blackburn Rovers
1993-94: Manchester United
1992-93: Manchester United
Jiunge na BONGOHOTZ.COM sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook
LIKE PAGE YA BONGOHOTZ KWENYE FACEBOOK
Post a Comment