Tanzania ni mojawao ya nchi yenye madini ya aina nyingi. Madini ya almasi ni madini yayopatikana tanzania pia. Sehemu nyingine imegundulika mkoani singida.
Kamishna wa Madini Tanzania, ametangaza kugundulika kwa madini aina ya Almasi mkoani Singida.
Hata hivyo uchimbaji wa madini hayo haujaanza
Post a Comment