Hatua zinachukuliwa katika nchi Afrika mashariki kuongeza umeme kutokana na kinyesi cha wanyama (samadi). Mradi huo ambao unazinduliwa mwezi huu unafadhiliwa na shirika la maendeleo ya kimataifa la Sweden-SIDA, na utazinufaisha nchi tatu ambao ni Ethiopia, Tanzania na Uganda.
Mradi wa Uganda umekuwa ukifanyiwa majaribio katika machinjio ya mjini Kampala.
ENDELEA HAPA
Post a Comment