TECHNOLOGY
JE UNAFAHAMU UWEZO WA "CAMERA" WA SIMU YA "SAMSUNG GALAXY S6"??? FAHAMU HAPA ...NI SHIDAAAA.
0
Comments
Kampuni ya Samsung ipo karibuni kuachia simu yake ya Samsung Galaxy S6
na tayari imeshaanza kutoa vi clip vifupi kuelezea simu hiyo hususan
upande wa Kamera.
hata hivyo simu hiyo inasemekana kuwa na kamera ya kipekee zaidi ambayo
ina 20 Megapixels (Kamera ya Nyuma) na 5 Megapixels Kamera ya Mbele.
Post a Comment