Aanza

ASKOFU ANGLIKANA AANZA KUHAMASISHA VIJANA KUJIANDAA KUSHIRIKI SENSA KWA MAAENDELEO YA TAIFA - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

Na Maandishi Wetu

ASKOFU wa Anglikana Dayosisi  ya Dar es Salaam Sosthenes Jackson amewataka vijana wote nchini hasa wa kanisa hilo kujiandaa kikamilifu kushiriki katika Sensa ya Watu na Makazi inayotarajia kufanyika Agosti mwaka huu.

Akizungumza leo Februari 5,2022 wakati akifungua semina Maalum ya vijana wa kanisha hilo Dayosisi ya Dar es Salaam ( TAYO) iliyofanyika Kanisa la St.Andrew Magomeni,Askafu Jackson amesema pamoja na mambo mengine huu ni mwaka wa sensa Kitaifa,hivyo ni vema tuhamasishana na kisha kushiriki katika sensa hiyo kwani ni Jambo muhimu sana katika Taifa ambalo linafanya watawala kupanga mipango mbalimbali ya kimaendeleo .

Amesema uwepo wa sensa unafanya Serikali kujua idadi ya watu wake na vitu mbalimbali vilivyopo ambavyo vinauzunguka jamii husika na kwamba Taifa lolote duniani linahitaji kujua idadi ya watu wake ili kupanga mipango yake ya kimaendeleo na ili kufanikisha hilo kunahitajika uzalendo watu katika kujjitokeza na kushiriki katika matukio muhimu katika nchi Kama sensa.

“Tnafahamu Agosti mwaka huu nchi yetu inaingia kwenye jambo kubwa kwa ajili ya maendeleo ya Taifa hili,tutakuwa na sensa ya watu na Makazi,niwaombe vijana wote nchini mkiwemo wa Kanisa la Anglikana kuhakikisha mnashiriki kwa vitendo, Serikali ikiwa na takwimu kamili ya watu wake pamoja na vitu vilivyopo ni rahisi kuweka mipango ya maendeleo,”amesema Askofu Jackson.

Ameongeza kwamba ipo changamoto ya baadhi ya vijana wa Kanisa kutokuwa wazalendo hata ndani ya Kanisa kwa kutosimamia vema kazi mbalimbali ya Kanisa hilo wanazopatiwa,hivyo katika hili la sensa wote tukaweka uzalendo mbele kwa manufaa ya Taifa la Tanzania.

Kuhusu semina Askofu Jacskon amewakimbusha vijana wa Kanisa hilo kuendelea kuwa waadilifu na wenye kujenga umoja,upendo na mshikamano katika inayowazunguka na Kanisa kwa ujumla huku akiwapongeza vijana hao wa kuandaa semina hiyo iliyoambatana na matukio mbalimbali likiwemo la kuliombea Taifa na viongozi wake.

Aidha semina hiyo imejenga msingi wa kuendelea kuwaleta  pamoja vijana wote kwa ajili ya kufungua mwaka mpya wa 2022 lakini pia kufanyika kwa Maombi ya pamoja kwa ajili ya Kanisa na nchi kwa ujumla.

Kwa upande wake Mratibu wa Umoja wa Vijana wa Kanisa hilo Padre Joseph Upiyo amewakumbusha vijana hao umuhimu wa kushiriki semina na makongamano yanayoandaliwa na Kanisa yenye lengo la kutambuana na kuwakumbusha majukumu yao katika Kanisa.

Pia amepata nafasi ya kuelezea kalenda ya Kanisa ya mwaka huu yenye matukio mbambali ya vijana ,hivyo ushiriki wao kwenye matukio hayo kadri yatakavyokuwa yanajitokeza ni muhimu wakawepo.








viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/askofu-anglikana-aanza-kuhamasisha-vijana-kujiandaa-kushiriki-sensa-kwa-maaendeleo-ya-taifa-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment