gossip

AUNT EZEKIEL AFUNGUKIA ISHU YA KUACHANA NA MOSSE IYOBO KWA MARA YA KWANZA

Mwigizaji Aunt Ezekiel akiwa na mpenzi wake Moses Iyobo.

KUFUTAIA kuwepo kwa taarifa kuwa Mwigizaji Aunt Ezekiel amempiga chini mpenzi wake Moses Iyobo, mrembo huyo ameibuka na kusema taarifa hizo hazina ukweli.

Aunt alisema madai hayo ya kuachana na mpenzi wake huyo yanatengenezwa na watu wake wa karibu hivyo akijiridhisha, atawatumbua.

“Wanaowaza kuwa mimi na Mose tunatarajia kugombana leo au kesho wako kwenye ndoto kali sana kwa kuwa hatujawahi kuwaza wala kufikiria kuhusu kuachana kabisa, nimeshatonywa wanaoeneza umbeya huo soon nitawatumbua,” alisema Aunt.


Jiunge na BONGOHOTZ.COM sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usiache ku download application play store kupata habari ndani ya sekunde kila inapotufikia..Karibu

LIKE PAGE YA BONGOHOTZ KWENYE FACEBOOK



TOA MAONI YAKO HAPA

Post a Comment

Post a Comment