hot stuff

HAMISA MOBETO,TUNDA WASHIRIKIANA NA WASANII WENZAO KUMPA SHAVU JOKETI KIDOTI

Wanawake wa Tanzania wameamua kupeana mashavu. Jokate Mwegelo amewatumia warembo maarufu wakiwemo Hamisa Mobeto, Miss Tanzaniawa zamani, Gena Mpangala, na Tunda na Husna Maulid, kupromote nywele zake mpya za Malaika kupitia brand yake ya Kidoti.

Tazama picha za warembo hao.

Post a Comment

Post a Comment